21.4 C
Dar es Salaam
Sunday, June 16, 2024

Contact us: [email protected]

Henderson asaini Liverpool

LIVERPOOL imempa mkataba mpya kiungo na nahodha wake, Jordan Henderson, ingawa hazikuwapo taarifa zaidi juu ya muda alioongeza kubaki Anfield.

Aidha, Henderson amekiri kufurahia dili la kubaki Liverpool, klabu aliyoitumikia kwa miaka 10 sasa.

Henderson mwenye umri wa miaka 31, ameifungia Liverpool mabao 30 katika mechi 394 alizocheza tangu alipojiunga nayo akitokea Sunderland.

Akihojiwa na tovuti ya Liverpool, Henderson amesema: “Nimefurahi sana, ni heshima kwangu kuendelea na safari niliyoianzia hapa”

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles