22.5 C
Dar es Salaam
Monday, October 2, 2023

Contact us: [email protected]

‘Kiswaswadu’ ya Mr Lambert kufunga mwaka 2020

Na CHRISTOPHER MSEKENA

MKALI wa Afro Pop anayeishi nchini Marekani, Lambert Mlule a.k.a Mr Lambert, ameweka wazi kufunga mwaka na ngoma mpya, Kiswaswadu itakayotoka December 31, mwaka huu kwenye yote ya muziki duniani.

Akizungumzia ngoma hiyo, Lambert ametamba kuwa Kiswaswadu ni ujio mpya wa kishindo baada ya kufanya vizuri kutikisa chati za muziki na wimbo wake, Mmh Ahha uliotoka Septemba, mwaka huu.

“Ninafunga na kufungua mwaka 2021 na ngoma hii ambayo Alhamisi itakuwa kwenye chaneli yangu ya YouTube hivyo mashabiki wanaweza kuitembelea natumia jina la Mr Lambert ili nikiachia video uwe wa kwanza kuiona, naamini mashabiki watafurahi zaidi,” alisema Lambert ambaye ni mzaliwa na Tanzania.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles