29.9 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

SK Classic aachia kitu ‘GoGo Do’

IOWA, MAREKANI

MSANII wa kizazi kipya anayewakilisha vyema Afrika Mashariki nchini Marekani, SK Classic, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea video ya wimbo wake mpya, GoGo Do iliyotoka hivi karibuni.

Classic, amesema anaamini ana mashabiki wengi East Africa hivyo ni vizuri wakafahamu kwamba ameachia video mpya baada ya Sexy Rosey ili waendelee kumpa sapoti.

“Nimeachia GoGo Do, huu ni wimbo wa mapenzi, namsifia msichana mrembo, ni ngoma ambayo ipo tofauti na nyimbo nyingi za mapenzi, mashabiki zangu wanaweza kuingia kwenye chaneli yangu ya YouTube na kuitazama kisha wakanipa maoni yao,,” alisema SK Classic.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles