26.3 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 1, 2021

Kisa corona Nandy awafanyia jambo mashabiki

Brighiter Masaki

MREMBO anayefanya vizuri kwenye Bongo Fleva, Faustina Charles a.k.a Nandy, amesema katika kipindi hiki cha ugonjwa wa corona ameamua kuwafikishia mashabiki bidhaa zake mpya za nyama, Nandy Meat.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Nandy alisema ameamua kufanya hivyo ili kuondoa changamoto ya watu mbalimbali kukwepa kutoka nje kwenda kufanya manunuzi.

“Nimeanzisha kampuni hii ya nyama kwa sababu kuna fursa nyingi kwenye biashara ya muziki kwahiyo nauza nyama, nyanya, vitungaa na viungo vingine huku nikiwapelekea mashabiki zangu,” alisema Nandy.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,628FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles