24.2 C
Dar es Salaam
Sunday, September 25, 2022

KIM KARDASHIAN AENDELEA KUMKINGIA KIFUA KANYE WEST

LOS ANGELS, MAREKANI


MWANAMITINDO  wa Marekani, Kim Kardashian, ameendelea kuwa sehemu ya mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii baada ya kumkingia kifua mumewe Kanye West, kuhusu ahadi ya kufoji ya fedha katika taasisi ya kifedha ya Nonda House.

Mbali ya kuwa na uwezo wa kusimama na kumtetea mumewe pia Kim amekuwa na upendo wa dhati kwa familia ya Kardashian.

Kim jana aliposti tena katika ukurasa wake wa Twitter akimvaa rapa Rhymefest ambaye alionyesha kuingia mambo yaliyokuwa yakiendelea dhidi ya mumewe yalitokana na taasisi ya kifedha ya Donda House ambayo ilikanusha Kanye kuahidi kuweka fedha kwa ajili ya Kim.

“Huna haki ya kuzungumza kwanza umefukuzwa studio kwa kuvaa Yeezy ya kufoji,” aliposti Kim katika ukurasa wake wa Twitter.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
201,853FollowersFollow
553,000SubscribersSubscribe

Latest Articles