KESI YA SCORPION YAAHIRISHWA TENA

0
749

Na Faraja Masinde, Dar es Salaam

Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kumtoboa macho, Said Mrisho, inayomkabili Salum Njwete maarufu “Scorpion” imehairishwa hadi Agosti 28, mwaka huu.

Kesi hiyo imehairishwa leo katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam na Hakimu Mkazi Adelf Sachore kufuatia Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Flora Haule kupata dharura pamoja na wakili wa mshtakiwa, Juma Nassoro kuomba udhuru kutokana na kuwa na kesi Mahakama Kuu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here