27.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, October 16, 2024

Contact us: [email protected]

Kanye West akumbuka dola milioni 20

kanye-west-vmas1CALIFORNIA, Marekani

NYOTA wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, amekumbuka namna alivyotumia dola milioni 20 kwa ajili ya kurekebisha nyumba yao iliyopo California, nchini Marekani.

Eneo la nyumba yao lina ukubwa wa eka 3.5, ambapo Agosti mwaka jana nyumba hiyo ilionekana kuwa na matatizo madogo madogo.

Kanye amesema marekebisho hayo yameifanya nyumba hiyo kuwa na mwonekano mpya wa nyumba za kisasa, ambapo wanaamini mtoto wao, Nori atakuwa sehemu salama zaidi.

“Tumeona bora tubadilishe mwonekano wa nyumba yetu ili kuweza kuwa ya kisasa zaidi ili mtoto wetu ajisikie yupo katika mazingira mazuri na yenye amani.”

 

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles