29.8 C
Dar es Salaam
Sunday, September 15, 2024

Contact us: [email protected]

Jay Z ampeleka Blue Ivy makumbusho Thailand

FFN_Beyonce_JayZ_FF8_111114_515820037889567BANGKOK, Thailand

NYOTA wa muziki nchini Marekani, Jay Z, amempeleka mwanawe nchini Thailand kwa ajili ya kuangalia makumbusho nchini humo.

Jay Z aliungana na mke wake, Beyonce na mtoto wao, Blue Ivy kwa ajili ya kumuonesha makumbusho mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya kuufurahia mwaka 2015.

Baada ya kuwasili katika makumbusho ya Fantasea nchini humo, alikutana na Chui ambaye alikuwa anang’ara kwa rangi ya dhahabu huku ikiwa sawa na rangi ya nguo ambayo alivaa mtoto huyo, hali hiyo ilimfanya mtoto huyo kung’ang’ania mahali alipo mnyama huyo kwa muda mrefu.

Mtoto huyo kwa sasa amekuwa ni miongoni mwa watu waliotembea maeneo mbalimbali duniani.

, amempeleka mwanawe nchini Thailand kwa ajili ya kuangalia makumbusho nchini humo.

Jay Z aliungana na mke wake, Beyonce na mtoto wao, Blue Ivy kwa ajili ya kumuonesha makumbusho mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya kuufurahia mwaka 2015.

Baada ya kuwasili katika makumbusho ya Fantasea nchini humo, alikutana na Chui ambaye alikuwa anang’ara kwa rangi ya dhahabu huku ikiwa sawa na rangi ya nguo ambayo alivaa mtoto huyo, hali hiyo ilimfanya mtoto huyo kung’ang’ania mahali alipo mnyama huyo kwa muda mrefu.

Mtoto huyo kwa sasa amekuwa ni miongoni mwa watu waliotembea maeneo mbalimbali duniani.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles