22.8 C
Dar es Salaam
Saturday, June 3, 2023

Contact us: [email protected]

Joti apata Ubalozi wa rangi

Na Brighiter Masaki, Dar es Salaam

Msanii wa Vichekesho nchini, Lukasi Mwavile, maarufu kama Joti amepata ubalozi wa Kampuni ya rangi ya Kansai Plascon na kumtambulisha kama fundi rangi namba moja Tanzania.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 12, 2021 jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Hussein Jamal amesema kuwa soko la rangi nchini Tanzania lina ushindani mkubwa hivyo wameleta rangi bora tunamtangaza Fundi rangi mpya Joti.

“Tunamtambulisha Joti katika kampeni ya yake ya paka Plascon zaidi ya rangi baada ya kupata mafunzo na kuwa mpaka rangi wa kwanza Tanzania.

Kwa upande wake Joti ameshukuru kwa Ubalozi huo na kudai kuwa sio ubalozi tu bali amepata na ujuzi wa upakaji rangi ambao pia amekuwa fundi rangi mzuri.

“Naamini nitaufanyia kazi nzuri mkataba wangu na kuitangaza kwa ufasaha kwa kuwa ni rangi inayosaidia kuwa mbu kwa miaka miwili,” amesema Joti

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,270FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles