30.4 C
Dar es Salaam
Friday, September 24, 2021

Jonathan Budju aiweka wazi ‘MATTHIEU 6’

MONTREAL, CANADA

KUTOKA nchini Canada, mwimbaji wa gospo, Jonathan Budju, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea video ya wimbo wake, MATTHIEU 6, aliouachia hivi karibuni.

Akizungumza na Swaggaz jana, Jonathan mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), alisema ndani ya wimbo huo kuna ujumbe mzuri ambao Mungu amemtumia ili kuufikisha kwa watu wote.

“Nashukuru mapokezi yamekuwa makubwa lakini natamani ujumbe uliopo ndani ya MATTHIEU 6 uwafikie watu wengi zaidi. Video tayari imetoka ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube kwahiyo unaweza kuitafuta naamini utabarikiwa,” alisema Jonathan.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
157,873FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles