23.3 C
Dar es Salaam
Friday, April 26, 2024

Contact us: [email protected]

Jeshi la Msumbiji yatuliza mashumbilizi

Maputo, Msumbiji

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi ametoa ripoti ya Wajeshi wa nchi hiyo kutuliza mashambulizi mapya yaliyofanywa na magaidi wa kundi la kiislamu katika mji kaskazini wa pamla ambapo kuna mradi mkubwa wa gesi unaondeshwa na kampuni ya Total.

Rais Nyusi ameyasema hayo wakati wa mkutano wa chama tawala cha Frelimo uliofanyika Matola, Mkoa wa Maputo.

Mwezi Machi, mamia ya magaidi walio na mafungamano na kundi la Islamic State (IS) walivamia mji huo katika shambulio lililosababisha vifo vya watu nchini humo.

Rais Nyusi alisema tukio la wikiendi lilihusisha jaribio la magaidi kujaribu  kuvamia kijiji cha Lumbi, Wilaya ya Palma na pia waliwaua magaidi wenzao watano waliojaribu kujiondoa kwenye kikundi hicho.

Alisema serikali yake iki tayari kuunga mkono msaada wa kigeni kukabiliana na magaidi kaskazini mwa nchi hiyo “hakuna mtu anayepaswa kujiona ana kinga au anaweza kupambana na ugaidi peke yake”.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles