28.2 C
Dar es Salaam
Thursday, June 1, 2023

Contact us: [email protected]

Huyu ndiye mpenzi mpya wa Kardashian?

Miami, Marekani

Siku chache tangu alipoachana na Kanye West, bibiye Kim Kardashian anatajwa kuwa na ukaribu wa kimapenzi na rapa raia wa Colombia.

Hii si mara ya kwanza kwa wawili hao kuhusishwa na uhusiano wa kimapenzi kwani mwanzoni mwa mwaka huu walionekana wakiwa Miami, Marekani.

Hata hivyo, chanzo kilichohojiwa na jarida la Page Six ni kwamba Kardashian na Maluma ni marafiki tu, hivyo hakuna mapenzi kati yao.

Aidha, chanzo kingine kililiambia jarida la E! News kuwa Kardashian yuko tayari kuanzisha uhusiano wa kimapenzi endapo atapata mwanaume sahihi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,225FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles