23.4 C
Dar es Salaam
Saturday, April 27, 2024

Contact us: [email protected]

Hii ni wiki ya Derby, dabika na Meridianbet na ushinde mihela

Mechi ni nyingi lakini kubwa kuliko ni Milan Dabi na London Dabi zote zitapigwa hii leo, nafasi ni yako ya kubashiri ukiwa na meridianbet.

Epl itaendelea tena kwa michezo kadhaa, huku tukishuhudia Dabi ya London kati ya Chelsea na West Ham itakayochezwa mapema sna mida ya saa 17: 00 za jioni. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi Chelsea kwa odds ya 1.59 na West Ham kapewa 5.29

Liverpool atakuwa ugenini kukipiga na Everton saa 14:30, Everton ametoka kutoa sare kwenye mechi zake 2 za mwisho na ameshinda mechi 1 tu msimu huu, je wataweza kumsimamisha Liverpool aliyepoteza mechi moja tu? Bashiri sasa nafasi ni yako ya kushinda.

Vijana wa Steven Gerad baada ya kupoteza dhidi ya Arsenal, wanakutana na Man City ya Pep iliyotoka kushinda goli 6 dhidi ya Nottingham. Hii mechi unaionaje? panga mkeka wako na ushinde kirahisi ukiwa na Meridianbet.

Wolves watacheza na Southmpton huku Tottenham watacheza na Fulham, pia Newcastle atakuwa na kibarua dhidi ya Crystal palace, upande mwingine Leeds watakuwa ugenini kucheza na Brentford hatujawasahau Nottingham watakipiga na Bournemouth. Mechi hizo zote utazipata meridianbet zikiwa na odds kubwa na machaguo mengine 1000+

Kule katika Serie A kuna Milan Dabi, leo nyasi za uwanja wa San Siro zitawaka moto majira ya saa19:00, Mechi iliyopita AC Milan alipoteza kwa goli 3, leo atakubali kupoteza na Inter nae atakubali kuharibu rekodi yake ya kumfunga mtani wake? Usisubiri bashiri hapa ili ushinde.

Katika La Liga michezo ya raundi ya 4 inaendelea hii leo, Real Madrid wapo nyumbani kucheza na Betis hawa jamaa sio wa kuchezea wapo nafasi ya pili kwenye msimamo. Meridianbet wamempa Betis odds ya 6.66 ashinde mbele ya Madrid aliyepewa 1.40.

Sevilla watacheza dhidi ya Barcelona yenye Lewandowski mchana nyavu, huku Real Sociedad atakipiga na Atletico. Weka ubashiri wako sasa ujihakikishie nafasi ya ushindi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles