28.4 C
Dar es Salaam
Friday, February 23, 2024

Contact us: [email protected]

Picha| Kamisheni ya TACAIDS yakutana kujadili masuala mbalimbali

Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk. Hedwiga Swai akiongoza kikao cha 50 cha Kamaisheni hiyo kilichofanyika Dar es Salaam Agosti 31, mwaka huu. 
Mjumbe wa Kamisheni ya TACAIDS, Peter Maduki akifafanua umuhimu wa kujaza nafasi zilizobaki za makamishina ili kuongeza tija katika upatikanaji wa michango yao kwa lengo la kuongeza maboresha katika utekelezaji wa majukumu ya TACAIDS wakati wa kikao cha 50 cha Kamaisheni hiyo kilichofanyika Dar es Salaam Agosti 31, 2022. 
Wajumbe wa Kamisheni ya TACAIDS na Menejimenti walioshiriki kikao cha 50 cha Kamisheni hiyo kilichofanyika Dar es Salaam Agosti 31, 2022.
Katibu wa Kamisheni ya TACAIDS, Dk. Lenard Maboko akitoa ufafanuzi wa fedha za ATF kulingana na mgawanyo wake pamoja na hali ya ufatiliaji pindi wanapo peleka fedha za ununuzi wa dawa Wizara ya Afya.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles