Hazard, Marcelo kutimka Madrid

0
392


BAADA ya kung’olewa na Chelsea katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, imebainika kuwa Eden Hazard, Marcelo na Isco wataondoka Real Madrid.
Wakati huo huo, imeichuka pia kocha wao, Zinedine Zidane, naye amechoshwa na majukumu ya kuinoa timu hiyo, hivyo naye anataka ‘kusepa’ zake.
CHANZO: ESPN

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here