24.6 C
Dar es Salaam
Saturday, September 7, 2024

Contact us: [email protected]

HAMISA MOBETO APATA MTOTO WA KIUME

NA JESSCA NANGAWE

STAA wa mitindo nchini, Hamisa Mobeto, jana alifanikiwa kupata mtoto wake wa pili baada ya awali kujaliwa mtoto wa kike anayeitwa Fantasy.

Mama mzazi wa mwanamitindo huyo alithibitisha taarifa hizo za kupata motto, huku akionyesha furaha ya hali ya juu.

“Namshukuru Mungu kwa kuniletea mume, Mungu amemjalia mwanangu amejifungua salama, sina kingine zaidi ya kumshukuru kwa zawadi hii,” alisema mama huyo.

Mobeto anaungana na Linah, ambaye naye siku za hivi karibuni alifanikiwa kujifungua mtoto wa kike aliyempa jina la Tracey.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles