28.2 C
Dar es Salaam
Monday, February 6, 2023

Contact us: [email protected]

RIHANNA AMPONZA CHRIS BROWN

BRIDGETOWN, BARBADOS

MASHABIKI wa msanii wa muziki chini Marekani, Rihanna, wamemjia juu staa wa muziki wa RnB, Chris Brown, baada ya posti kwenye akaunti ya Insragram ya mrembo huyo.

Rihanna kwenye akaunti hiyo aliweka picha yake akiwa kwenye tamasha la asili la Crop Over Festival, hivyo Chris alikuwa mmoja wa mashabiki ambao walitupia komenti zao, lakini yeye aliposti macho, akimaanisha anamshangaa mrembo huyo.

Kitendo hicho kilionekana kumponza, baada ya idadi kubwa ya mashabiki wa Rihanna kumshambulia kwa maneno makali, huku wengine wakimtaka kukaa mbali na mrembo huyo.

Wawili hao walikuwa kwenye uhusiano miaka ya nyuma, lakini mwaka 2009 waliachana, baada ya Chris kumpiga mrembo huyo, kitendo ambacho kililaaniwa na idadi kubwa ya wadau wa muziki duniani.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,471FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles