24.2 C
Dar es Salaam
Monday, May 6, 2024

Contact us: [email protected]

GIG MONEY HANA HARAKA NA WIMBO MPYA

NA ESTHER GEORGE



VIDEO queen anayetamba na wimbo wa ‘Nampa Papa’, Gift Stanford ‘Gig Money’, amefunguka na kusema hawezi kukurupuka kutoa wimbo mwingine kwa kuwa bado wimbo wake haujachuja.

Mrembo huyo amedai muziki ni mipango, msanii anatakiwa kukaa chini na kufikiria jinsi ya kuwafanya mashabiki wawe na kiu ya kumsikiliza.

“Siwezi kukurupuka tu kutoa wimbo mara kwa mara, hii inaharibu soko na mashabiki wanakuchoka haraka, kazi bado zipo nyingi na zitakuja kwa mpangilio, hivyo ninawapa muda mashabiki zangu,” alisema Gig Money.

Msanii huyo amefananishwa na Ali Kiba kwa mipango ya kukaa muda mrefu bila ya kutoa kazi mpya tofauti na wasanii wengine.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles