29.2 C
Dar es Salaam
Thursday, September 19, 2024

Contact us: [email protected]

Fella, Baby J kusaka vipaji visiwani Zanzibar

10735529_787253024649300_80706706_nNA MELCKZEDECK SIMON

MKURUGENZI wa Kundi la Mkubwa na Wanawe na Diwani wa Kata ya Kilungule, Said Fella, ameelekeza nguvu zake Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kusaka vipaji vya wasanii wenye uwezo wa kuimba na kucheza lakini wanakosa sehemu ya kuonyesha vipaji vyao.

Katika msako huo wa wasanii, Fella ameongozana na wasanii wawili waliojiunga na kundi lake ambao wana asili ya Zanzibar, Berry Black na mwanadada Baby J, ambao watatumika kama majaji katika kazi hiyo.

“Nashukuru nimepata mapokezi mazuri kutoka kwa wadau wa muziki, watu wamejitokeza kwa wingi, nina imani kwamba kwa kushirikiana na Berry Black na Baby Jay tutapata wasanii wenye vipaji vikubwa na watakaoleta mapinduzi katika muziki wa Bongo Fleva kupitia visiwani hapa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles