Eunice Kemunto amshirikisha Upendo Nkone

0
1645

Alberta, Canada

MWIMBAJI wa Injili mwenye makazi yake nchini Canada, Eunice Kemunto, ameendelea kuwabariki wapenzi wa muziki huo kwa wimbo wake mpya, Sijaona Mwingine aliomshirikisha Upendo Nkone.

Eunice ameliambia mtanzania.co.tz kuwa wimbo huo wenye mguso wa kipekee unapatikana mwenye mitandao mbalimbali kama vile chaneli yake ya YouTube hivyo anaomba watu wote wakausikilize na kutazama video hiyo iliyotoka hivi karibuni.

“Wimbo unaongelea ukuu wa Mungu wetu, kwamba hakuna kama yeye na mpaka sasa Sijaona Mwingine zaidi yake, naamini wengi watabarikiwa na watamuona Mungu kwa viwango vingine, video imeshatoka ipo mwenye chaneli yangu ya YouTube,” amesema Eunice.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here