22.1 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 31, 2023

Contact us: [email protected]

Enrico: Hakuna Bongo Fleva siku hizi

NA HERIETH FAUSTINE

MTAYARISHAJI wa muziki kutoka studio ya Sound Crafters, Enrico Figueroa ‘Enrico’, amesema nyimbo zote
zinazotoka siku hizi hazina ubora, ndiyo maana haziwezi kudumu hata kwa miaka miwili.

“Mpaka sasa sijaona wimbo mkali, nyimbo zote ni sawa tu, zinakaa siku mbili, tatu au wiki nne zinapotea, hakuna
Bongo Fleva ya kukaa miaka miwili,” alisema Enrico, alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Planet Bongo
kinachorushwa na kituo cha runinga cha EATV.

Aliongeza kwamba ili wimbo uwe mkali na udumu muda mrefu, unatakiwa uwe na utungaji mzuri wenye mashairi bora na yenye vina vinavyoeleza uhalisia wa maisha ya sasa tofauti na nyimbo za siku hizi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,205FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles