24.2 C
Dar es Salaam
Friday, April 19, 2024

Contact us: [email protected]

Will Smith arudi rasmi kwenye muziki

smithNEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa filamu nchini Marekani, Will Smith, anatarajia kurudi kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya miaka 10.

Msanii huyo alikuwa kimya mara baada ya kuachia albamu yake ya ‘Lost and Found’, aliyoiachia 2005 na kuingia
kwenye filamu na sasa amerudi katika muziki.

Tayari msanii huyo amemaliza baadhi ya video zake katika nyimbo alizotumia lugha ya Kiingereza na Kihispania.
“Nimekaa nje ya muziki kwa muda mrefu, lakini kwa sasa nimeamua kurudi tena kwa kuwa ni fani yangu, kuna
kazi ambazo ziko tayari nimezifanya na Kanye West tangu Februari mwaka huu, lakini bado sijaziachia, naamini huu ni muda sahihi wa kufanya hivyo,” alisema Smith.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles