Emmanuel Music Australia waja na Asante

0
313

Queensland, Australia

Kundi linaloundwa na warembo wanne kutoka nchini Australia la, Emmanuel Music Australia, wameweka wazi ujio wa wimbo wao mpya wa, Asante utakaotoka hivi karibuni.

Akizunguma na www.mtanzania.co.tz kuhusu ujio huo mpya Meneja wa kundi hilo, Happiness amesema wimbo Asante, utatoka Mei 1, mwaka huu ukiwa na ujumbe wa shukurani.

“Mashabiki watarajie kubarikiwa na kufurahia wimbo wa kundi hili, kuanzia Jumamosi wiki hii wimbo Asante utapatikana kwenye ‘platform’ zote za kusikiliza na kupakua muziki hivyo tunaomba sapoti,” amesema mrembo huyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here