Mke amkomba Dr. Dre bilioni moja

0
334


RAPA mkongwe, Dr. Dre, amelazimishwa na mahakama kuwalipa mawakili wa aliyekuwa mkewe, Nicole Young, kiasi cha Dola za Marekani 500,000 (zaidi ya Sh bilioni moja za Tanzania).


Kwa mujibu wa Mahakama, Dr Dre anatakiwa awe ameshalipa mkwanja huo ndani ya siku 10 na hiyo haimaanishi kuwa ataacha kumlipa mwandani wake huyo wa zamani fedha za matumizi kila mwezi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here