27.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, March 21, 2023

Contact us: [email protected]

Darasa awaponda wanaomuiga Diamond

darasaNA HERIETH FAUSTINE

MKALI wa hip hop nchini, Darasa amewaponda wasanii wanaoiga njia anazotumia msanii mwenzao, Diamond  Platinum, kutangaza muziki wake nje ya nchi wakati hawajajiimarisha katika soko la ndani.

“Diamond alishafanya vitu vingi vizuri nyumbani na Afrika Mashariki kwa hiyo kwake ni wakati sahihi, kupitia kazi anazoendelea kufanya kwa kuwa ndani anakubalika hivyo nje nako ni rahisi kuendelea kukubalika,” alieleza Darasa.

Darasa aliendelea kuwafungua macho wasanii anaowaponda kwa kuwakumbusha kwamba mafanikio ya Diamond kimataifa yalianza kupitia wimbo wa ushirikiano na msanii wa Nigeria, Davido aliyekuwepo nchini kwa ajili ya onyesho maalumu la muziki hivyo si rahisi kufikia kimataifa kuiga alivyofanya yeye inabidi kuwa na njia mbadala ya kuwawezesha kuwavusha hapo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
210,784FollowersFollow
563,000SubscribersSubscribe

Latest Articles