29.2 C
Dar es Salaam
Thursday, September 19, 2024

Contact us: [email protected]

Ciara afurahia kufunga ndoa

Ciara Wilson akiwa na Mume wake Russell Wilson.
Ciara Wilson akiwa na Mume wake Russell Wilson.

LONDON, ENGLAND

NDOA ya nyota wa muziki nchini Marekani, Ciara Wilson, imetikisa jijini London huku mastaa wengi wa muziki wakijitokeza kiasi cha kumfanya msanii adondoshe machozi ya furaha.

Msanii huyo amefunga ndoa na mpenzi wake Russell Wilson ambaye ni nyota wa mpira nchini Marekani ambapo katika ndoa hiyo walijitokeza wasanii wengi kati ya wageni 100 waliopata mwaliko wakiwemo Jennifer Hudson, Kelly Rowland na Lala Anthony.

“Nimekuwa na furaha kubwa kuona jambo hili linafikia mwisho, ni kama ndoto lakini kumbe ni kweli, nilijikuta nadondosha chozi kwa furaha kwa kuwa siyo jambo rahisi,” aliandika Ciara kupitia ukurasa wake wa Twitter.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles