29 C
Dar es Salaam
Wednesday, September 18, 2024

Contact us: [email protected]

Amber Rose, French Montana wanaswa

amber rose
amber rose

NEW YORK MAREKANI

MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Amber Rose, anadaiwa kutoka na rapa French Montana baada ya wawili hao kukutwa sehemu tofauti majira ya usiku.

Kupitia mitandao ya kijamii, mrembo huyo ameonekana kushambuliwa na mashabiki kwa kudai kwamba anamchokoza Kim Kardashian kwa kutoka na rapa huyo.

Inaelezwa kwamba awali French Montana alikuwa anatoka na Kim Kardashina ila baada ya kuachana, Kim aliolewa na Kanye West ambaye hadi sasa wapo pamoja.

Naye Amber naye baada ya kuchana na Wizkhalifa, ameamua kutoka na Montana ambaye alikuwa anatoka na Kim miaka ya nyuma, lakini kutokana na kushambuliwa huko Amber Rose amedai kwamba hawezi kujibu mitazamo ya mashabiki.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles