26.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 5, 2023

Contact us: [email protected]

‘Celebrate Life’ ya Muzo kutoka Disemba 9

NA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa kizazi kipya kutoka Downtown, Canada, Muzo Muzic, ameweka wazi kuwa albamu yake fupi (EP), Celebrate Life ataiachia rasmi Disemba 9, mwaka huu katika mitandao ya kusikiliza na kuuza muziki duniani kote.

Akizungumza na MTANZANIA, Muzo mwenye asili ya Zambia alisema anaamini EP hiyo yenye jumla ya ngoma sita itawapa raha mashabiki ambao wamekuwa wakiisubiri kwa muda mrefu.

“Hii ni EP bora kabisa kwa mwaka 2020, ina nyimbo kali kama Celebrate, Addicted, Work, Doubt It 2, So Blessed na Felling You ambayo tayari video yake ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube, ninachoweza kusema mashabiki

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles