Ceballos: Itakuwa ngumu kubaki Arsenal

0
260

MIDO wa Kihispania, Dani Ceballos, amesema itakuwa ngumu kwake kubaki Arsenal atakapomaliza mkopo wake kutoka Real Madrid.

Alichokisema Ceballos mwenye umri wa miaka 24 ni kwamba anaipenda zaidi La Liga kuliko Ligi Kuu ya England.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here