Arteta: Nastahili kubaki Arsenal

0
365

KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amesisitiza kuwa bado yeye ni mtu sahihi wa kuliongoza benchi la ufundi la timu hiyo.
Washika Bunduki wameng’olewa Ligi ya Europa baada ya suluhu ya jana dhidi ya Villarreal kwani walishachapwa mabao 2-1 na Wahispania hao.
Ni wazi sasa Arsenal wako hatarini kuikosa Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kwani hali yao mbaya kwenye ligi ambako wanashika nafasi ya tisa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here