Marquinhos anakuja Chelsea

0
437

KOCHA wa Chelsea, Thomas Tuchel, amewataka mabosi wa timu hiyo kumsajili beki kisiki wa PSG, Marquinhos.
Wawili hao walikuwa pamoja PSG na hadi sasa Marquinhos ameendelea kuvaa kitambaa cha unahodha wa timu hiyo.

Huyo atakuwa mchezaji wa pili wa PSG kutua Blues kwa misimu ya hivi karibuni baada ya Thiago Silva kutanguliwa mwaka jana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here