Benteke kumfuata Samatta

0
507

HUENDA straika wa Crystal Palace, Christian Benteke, akajiunga na Fenerbahce anayochezea nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta.

Benteke (30), atahamia Fenerbahce akiwa mchezaji huru pindi atakapomaliza mkataba wake Juni 30, mwaka huu.
CHANZO: Sun

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here