26.2 C
Dar es Salaam
Monday, October 3, 2022

Arsenal kumrudisha Chamberlain

LONDON, England

KLABU ya Arsenal inaangalia uwezekano wa kumsajili kwa mara nyingine kiungo wao wa zamani anayeichezea Liverpool, Alex Oxlade-Chamberlain.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 28, aliichezea Arsenal kwa miaka sita, kabla ya kutimkia Anfield mwaka 2017.

Usajili huo wa mkopo utafanyika Januari, mwakani, ukilenga kuimarisha eneo la kiungo la Washika Bunduki, ambalo linawategemea Granit Xhaka na Thomas Partey.

Katika makubaliano kati ya klabu mbili, kutakuwa na kipengele kitakachoiruhusu Arsenal kumsajili moja kwa moja mwishoni mwa msimu huu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,621FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles