HomeAfya na Jamii Afya na JamiiKitaifa Picha| kutoka nyumbani kwa Hayati Edward Lowassa Monduli By Mtanzania Digital February 15, 2024 0 994 FacebookTwitterPinterestWhatsApp atibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akiwafariji watoto wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha Februari 15, 2024. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wake, Anderson Mutatembwa katika Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akizungumza na Makatibu Wakuu kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Rombo, Joseph Selasini kwenye msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa, katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleTPLB yavuna mamilioni Yanga, SimbaNext articleChadema yatumia mabango kufikisha ujumbe Mwanza Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz Related Articles Biashara na Uchumi Serikali kuboresha sera ya miliki bunifu Afya na Jamii Mageuzi makubwa Sekta ya Ardhi yanakuja-Silaa Afya na Jamii IWPG Global Region 2 met with representatives of Ethiopian EBC Broadcasting Company LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow587,000SubscribersSubscribe Latest Articles Biashara na Uchumi Serikali kuboresha sera ya miliki bunifu Afya na Jamii Mageuzi makubwa Sekta ya Ardhi yanakuja-Silaa Afya na Jamii IWPG Global Region 2 met with representatives of Ethiopian EBC Broadcasting Company Biashara na Uchumi Serikali yaainisha mpango wa kusaidia wachimbaji wadogo nchini Kilimo Jubilee Allianz kuanza kutoa bima ya kilimo Load more