HomeSiasa Siasa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Makurumla waridhika ujenzi wa madarasa By Mtanzania Digital November 30, 2021 0 1535 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Diwani wa Makurumla, Manispaa ya Ubungo, Bakari Kimwanga,(katikati aliyevaa suti nyeusi) akitoa ufafanuzi leo Novemba 30,2021 kuhusu ujenzi wa madarasa manane kwa Shule ya Sekondari ya Makurumla, yenye thamani ya sh milioni 160, ukiwa utekelezaji wa matumizi ya fedha za UVIKO-19, zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Makurumla, ikiongozwa na Mwenyekiti Yusuf Mnekeya, walikagua ujenzi na kuridhishwa na kazi hiyo. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleBalozi Mulamula, Waziri wa China wazungumzaNext articleKiwanda cha Sukari Kilombero kuanza mradi wa kuchochea ukuzaji uchumi Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz Related Articles Habari Kuu MEI MOSI 2024; Kikokotoo kufanyiwa uchambuzi, nyongeza mishahara kutangazwa karibuni Biashara na Uchumi Makonda aisisitiza GGML kuhakikisha CSR inabadilisha maisha ya wana-Geita Biashara na Uchumi Majaliwa ashuhudia utiaji saini miradi ya umwagiliaji ya Sh bilioni 258 LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow586,000SubscribersSubscribe Latest Articles Habari Kuu MEI MOSI 2024; Kikokotoo kufanyiwa uchambuzi, nyongeza mishahara kutangazwa karibuni Biashara na Uchumi Makonda aisisitiza GGML kuhakikisha CSR inabadilisha maisha ya wana-Geita Biashara na Uchumi Majaliwa ashuhudia utiaji saini miradi ya umwagiliaji ya Sh bilioni 258 Kilimo Bashe azindua Bodi ya Mkonge, yaahidi kufanya kazi kwa weledi Biashara na Uchumi Bashungwa amsweka ndani mkandarasi daraja Mpijichini Load more