24 C
Dar es Salaam
Sunday, May 19, 2024

Contact us: [email protected]

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Makurumla waridhika ujenzi wa madarasa

Diwani wa Makurumla, Manispaa ya Ubungo, Bakari Kimwanga,(katikati aliyevaa suti nyeusi) akitoa ufafanuzi leo Novemba 30,2021 kuhusu ujenzi wa madarasa manane kwa Shule ya Sekondari ya Makurumla, yenye thamani ya sh milioni 160, ukiwa utekelezaji wa matumizi ya fedha za UVIKO-19,  zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Makurumla, ikiongozwa na Mwenyekiti Yusuf Mnekeya, walikagua ujenzi na kuridhishwa na kazi hiyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles