HomeAfya na Jamii Afya na JamiiBiashara na UchumiElimu na Teknolojia Matukio kwa picha: Mkutano wa tathmini ya utoaji huduma DAWASA By Mtanzania Digital July 8, 2021 0 982 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Waziri wa Maji, Juma Aweso (kulia) akimkabidhi Tuzo ya Utendaji bora Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) Mhandisi Cyprian  wakati wa mkutano wa tathimini utoaji wa huduma za maji mikoa ya Pwani na Dar es Salaam jana kwa Mwaka wa Fedha wa 2021, ambapo waziri ameahidi kwa mwaka wa fedha wa 2021 watahakikisha wanafikia mlengo kwa kukamilisha miradi yote ya maji. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi wa DAWASA, Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali, Davis Mwamunyange. Waziri wa Maji, Juma Aweso akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira(DAWASA) wa mikoa ya Pwani na Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa tathimini utoaji wa huduma za maji mikoa hiyo kwa Mwaka wa Fedha wa 2021, ambapo waziri ameahidi kwa mwaka wa fedha wa 2021 watahakikisha wanafikia mlengo kwa kukamilisha miradi yote ya maji. Waziri wa Maji, Juma Aweso akijaribu magari mpya ya kubebea majitaka yaliyonunuliwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) wakati wa mkutano wa tathimini utoaji wa huduma za maji mikoa ya Pwani na Dar es Salaam jana kwa Mwaka wa Fedha wa 2021, ambapo waziri ameahidi kwa mwaka wa fedha wa 2021 watahakikisha wanafikia mlengo kwa kukamilisha miradi yote ya maji. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleWaziri Jenista Mhagama aipongeza WHC, aitaka kushirikiana na taasisi nyingineNext articleMavunde awataka walimu wanawake kuchangamkia fursa za kiuchumi Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Afya na Jamii Kaya 413 zazingirwa na maji Lamadi mkoani Simiyu Uncategorized GGML, OSHA yawanoa bodaboda 200 Arusha, Ndejembi awafunda Afya na Jamii Wakunga watakiwa kuzingatia weledi kwenye utoaji wa huduma LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow587,000SubscribersSubscribe Latest Articles Afya na Jamii Kaya 413 zazingirwa na maji Lamadi mkoani Simiyu Uncategorized GGML, OSHA yawanoa bodaboda 200 Arusha, Ndejembi awafunda Afya na Jamii Wakunga watakiwa kuzingatia weledi kwenye utoaji wa huduma Burudani Idris Sultan anogesha Msimu wa Tatu wa Bridgerton Afya na Jamii Waziri Mhagama awataka wazazi, walezi kusimamia maadili kwa watoto Load more