50 CENT AKIWASHA, AMCHOKOZA JA RULE

0
390

WAKATI Jan Rule akiendelea kupitia hali ngumu ya kiuchumi, mpinzani wake mkubwa kwenye muziki wa Hip hop, 50 Cent, ameamua kumkejeli.

Kama ilikupita, Ja Rule na mkewe, Aisha, wanahenyeshwa na deni la kodi ya Serikali inayofikia Dola milioni tatu (zaidi ya Sh bil. 6 za Tanzania).

Kama ambayo Cent anafahamika kwa kuwakera maadui zake, ameposti ujumbe unaosomeka: “Lipa deni la kodi.”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here