Imechapishwa: Thu, Aug 10th, 2017

MBUNGE ATAKA AFUNDISHE

 

 

MBUNGE wa   Serengeti, Marwa  Ryoba, ameutaka  Uongozi wa Shule ya Sekondari Serengeti kumpangia vipindi   aweze   kufundisha wanafunzi wa shule hiyo masomo ya sayansi  anapokuwa mapumziko, anaripoti Malima Lubasha.

Ryoba alisema hayo wakati wa makabidhiano wa msaada wa madawati na magodoro yaliyotolewa na kampuni inayojishughulisha na utalii   ya Grumeti Reserves Fund.

Alisema amechukua hatua hiyo baada ya kuridhishwa na matokeo mazuri ya kidato cha sita mwaka huu ambako wanafunzi wote 48 wamefaulu, daraja la kwanza wakiwa  12, daraja la pili    34 na la tatu wamefaulu watatu.

 

 

Weka maoni yako

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>

YOUTUBE

MBUNGE ATAKA AFUNDISHE