MWANASHERIA AFUNGUKA KUHUSU MUUNGANO

ARODIA PETER NA MAULI MUYENJWA -DAR ES SALAAM ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ameufananisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa ni kama ‘ndoa ya jinsia moja’, kwa kuwa pande zote mbili zina haki sawa, hata kama ukweli utapindishwa. Akitoa mada ya maslahi ya Zanzibar katika Katiba mpya wakati More...

by Mtanzania Digital | Published 4 weeks ago
By Mtanzania Digital On Saturday, February 11th, 2017
Maoni 0

DK. SHEIN NAYE AWAFUNDA MABALOZI WAPYA

Na Mwandishi Wetu- Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka mabalozi wapya wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchi za nje kutekeleza Sera ya Diplomasia More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 27th, 2017
Maoni 0

WANAFUNZI WALIVYOFUMBULIWA MACHO KUHUSU NDOA ZA UTOTONI

Na MWANDISHI WETU, aliyekuwa Zanzibar DESEMBA mwaka jana, wadau wa Shirika lisilo la Kiserikali la Foundation for Civil Society (FCS), wawakilishi wa serikali na wadau wa maendeleo (DPs), walifanya ziara More...

By Mtanzania Digital On Monday, January 9th, 2017
Maoni 0

MAALIM SEIF: UKIMYA WANGU UNA MSHINDO

Na ASHA BANI-ZANZIBAR   Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, (kushoto), akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), More...

By Mtanzania Digital On Sunday, January 8th, 2017
Maoni 0

SADIFA: SITAGOMBEA UBUNGE 2020

MBUNGE wa Donge, Sadifa Juma Khamis Na Mwandishi Wetu – Zanzibar MBUNGE wa Donge, Sadifa Juma Khamis, jana alitangaza kuwa hatagombea tena ubunge mwaka 2020, huku akimshutumu hadharani Katibu wa CCM Mkoa More...

By Mtanzania Digital On Saturday, January 7th, 2017
Maoni 0

CUF WATEMBEZA BAKULI KUSAKA FEDHA ZA KAMPENI

NA ASHA BANI CHAMA cha Wananchi (CUF) kinaidai Serikali ruzuku ya zaidi ya Sh milioni 600 na kuwapa wakati mgumu katika kipindi cha uchaguzi wa marudio katika Jimbo la Dimani visiwani Zanzibar. Kukosa ruzuku kwa More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 6th, 2017
Maoni 0

KINANA ARUSHA KOMBORA KWA MAALIM SEIF

Na Muhammed Khamis (UoI)-ZANZIBAR KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amerusha kombora zito kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, huku akimwita mgombea More...

By Mtanzania Digital On Saturday, December 31st, 2016
Maoni 0

ACT WAZALENDO KUUNGURUMA DIMANI

Na MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, leo anatarajia kuzindua kampeni za uchaguzi mdogo wa kugombea kiti cha ubunge katika Jimbo la Dimani, Zanzibar na nafasi za More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, December 28th, 2016
Maoni 0

DK. SHEIN AZIPONGEZA CUBA, OMAN

Na Mwandishi Wetu-ZANZIBAR   Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anayefanyia kazi zake Zanzibar, Ahmed bin Humoud Al More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, December 27th, 2016
Maoni 0

SAMIA: ACHENI KUWAOZA MABINTI WA UMRI MDOGO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Na Mwandishi Wetu-ZANZIBAR MAKAMU wa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi na walezi wa Tanzania Zanzibar waache tabia ya kuwaoza wasichana More...