BOCCO AING’ARISHA SIMBA

Na GRACE HOKA-MBEYA TIMU ya Simba imeifunga Tanzania Prisons bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine, Mbeya jana. Bao hilo pekee la Simba lilipatikana katika dakika ya 83, kupitia kwa mshambuliaji wake, John Bocco, aliyeachia shuti baada ya kutokea piga nikupige langoni mwa Prisons. Kwa matokeo hayo, Simba More...

by Mtanzania Digital | Published 24 hours ago
By Mtanzania Digital On Saturday, November 18th, 2017
Maoni 0

KOCHA HULL CITY KUINOA KILIMANJARO STARS

Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemtangaza Ammy Conrad Ninje kuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, itakayoshiriki mashindano ya Chalenji, More...

By Mtanzania Digital On Saturday, November 18th, 2017
Maoni 0

LWANDAMINA APATA TIBA YA MBEYA CITY

Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina, ameanza kusaka mbinu za kupata ushindi mnono katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City, utakaochezwa kesho katika Uwanja More...

By Mtanzania Digital On Thursday, November 16th, 2017
Maoni 0

WATATU AZAM KUIKOSA NJOMBE MJI

Na ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM AZAM FC inatarajia kuwakosa wachezaji wake watatu, Himid Mao, Daniel Amoah na Yakubu Mohamed, itakapoumana na Njombe Mji katika mchezo utakaopigwa kwenye Uwanja wa Sabasaba, Njombe. Wachezaji More...

By Mtanzania Digital On Thursday, November 16th, 2017
Maoni 0

AJIB AONJA HASIRA ZA LWANDAMINA

Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Yanga, Ibrahim Ajib, jana alionja hasira za kocha wake, George Lwandamina, baada ya kupewa adhabu ya kupiga pushapu za kutosha. Tukio hilo lilitokea wakati wa mazoezi More...

By Mtanzania Digital On Sunday, November 12th, 2017
Maoni 0

MO DEWJI, TENGA WABEBA JUKUMU FAINALI ZA VIJANA 2019

Na MOHAMED KASSARA-DAR ES SALAAM MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mohammed Dewji ‘Mo’ na rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodgar Tenga, ni miongoni mwa majina 25 yanayounda  kamati ya maandalizi More...

By Mtanzania Digital On Saturday, November 11th, 2017
Maoni 0

DARTS CHALENJI KUANZA DESEMBA MOSI

NA GLORY MLAY-DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu wa Chama cha Darts cha Tanzania (Tada), Subira Waziri, amesema mashindano ya Darts ya Chalenji Afrika Mashariki (EADF), yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi Desemba mosi hadi More...

By Mtanzania Digital On Saturday, November 11th, 2017
Maoni 0

ILIKUWA HIVI SINGIDA WALIVYOIKARIBISHA VPL

NA SALMA MPELI – ALIYEKUWA SINGIDA NOVEMBA 4, mwaka huu, wapenzi wa soka wa mkoani Singida walifanikiwa kushuhudia pambano la Ligi Kuu Bara (VPL) kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka 17. Kukosekana kwa More...

By Mtanzania Digital On Saturday, November 11th, 2017
Maoni 0

TAIFA STARS VS BENIN MTIHANI WA KWANZA KWA MAYANGA UGENINI

Na MOHAMED KASSARA -DAR ES SALAAM KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, leo kitakuwa na kibarua kizito cha kusaka ushindi dhidi ya Benin katika mchezo wa kimataifa wa kalenda ya Shirikisho la More...

By Mtanzania Digital On Thursday, November 9th, 2017
Maoni 0

MBEYA KWANZA YAIVURUGA COASTAL UNION

Na ESTHER GEORGE TIMU ya Mbeya Kwanza imefanikiwa kuiburuza Coastal Union baada ya kuichapa mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya. Katika mchezo huo kulikuwa na ushindani More...

Translate »