‘MARUFUKU KUJIUNGA ‘BOARDING’ BILA KUPIMWA TB’

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam Serikali imesema ni marufuku mwanafunzi yeyote kujiunga na shule ya bweni bila kupimwa maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu (TB). Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa agizo hilo leo Jumanne Machi 20, wakati akizindua dawa maalumu ya kutibu TB ya watoto. Aidha, Waziri Ummy More...

by Mtanzania Digital | Published 9 hours ago
By Mtanzania Digital On Tuesday, March 20th, 2018
Maoni 0

MUHIMBILI YAPATIWA MSAADA WA VIFAA TIBA

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam Shirika la Australia Tanzania Society limeikabidhi Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 25. Mkurugenzi wa Shirika hilo, More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, March 20th, 2018
Maoni 0

MAWAKILI WA NONDO ‘WAPIGWA KANZU’ CENTRAL

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mawakili wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DSM), ‘aliyepotea’ Abdul Nondo, wamejikuta katika wakati mgumu na kukimbilia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusubiri More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, March 20th, 2018
Maoni 0

UPELELEZI KESI YA MHASIBU TAKUKURU WAKAMILIKA

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam  Upelelezi wa kesi ya aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai na wenzake watatu wanaokabiliwa na mashtaka 43 yakiwamo kumiliki More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, March 20th, 2018
Oni 1

MKAPA AMWIBUA EDWARD LOWASSA

PATRICIA KIMELEMETA Na CHRISTINA GAULUHANGA – DAR ES SALAAM WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema mjadala wa kuboresha sekta ya elimu nchini ulikuwa ni kipaumbele chake tangu alipokuwa ndani ya More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, March 20th, 2018
Maoni 0

UCHIMBAJI TANZANITE NJIAPANDA

Na Masyaga Matinyi, Mirerani SHUGHULI za uchimbaji madini ya vito ya tanzanite katika eneo la Mirerani mkoani Manyara zimepungua kwa kiasi kikubwa baada ya agizo la kuwataka wamiliki wa migodi kulipa mishahara More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, March 20th, 2018
Maoni 0

HOMA YA DENGUE YAREJEA NCHINI

Na VERONICA ROMWALD-DAR ES SALAAM UGONJWA wa homa ya dengue  umeripotiwa kurejea nchini huku wagonjwa 11 kugundulika kuugua ugonjwa huo  Dar es Salaam. Taarifa ya Wizara ya Afya, Jinsia, Maendeleo ya Jamii, More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, March 20th, 2018
Maoni 0

UKWELI MCHUNGU

ELIZABETH HOMBO Na NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM NI ukweli mchungu. Ndivyo unavyoweza kusema, hasa baada ya Rais Dk. John Magufuli, kukutana na wafanyabiashara huku kila mmoja akieleza vikwazo na ushauri kwa Serikali. Kutokana More...

By Mtanzania Digital On Monday, March 19th, 2018
Maoni 0

JPM: SUKARI INAYOZALISHWA NCHINI HAITOSHELEZI

Na Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Rais John Magufuli, amesema sukari inayozalishwa nchini haitoshelezi kutokana na uwekezaji mdogo uliowekwa katika kilimo cha miwa. Amesema kutokana na hali hiyo wafanyabiashara More...

By Mtanzania Digital On Monday, March 19th, 2018
Maoni 0

MTUWASA KUKUSANYA MADENI KIELEKTRONIKI

Na Florence Sanawa, Mtwara Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara Mjini (MTUWASA), imeanzisha utaratibu mpya ya kulipia madeni yake kwa njia ya elektroniki kupitia mtandao wa simu za mkononi (NMB Mobile) More...