Zaidi ya vijana 80 watunukiwa cheti cha sungusungu

0
615

Ferdnanda Mbamila, Dar es Salaam

Zaidi ya vijana 81 wa kata ya Hananasifu Makongo juu jijini Dar es Salaam, wametunukiwa cheti cha mafunzo ya polisi jamii maarufu kama sungusungu.

Akizungumza na MTANZANIA leo Jumatano Agosti 28, katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya chuo cha ardhi Mkuu wa masuala ya Polisi jamii Mkoa wa Kipolisi Kinondoni E1360 Ibrahim Omary amesema, mafunzo haya ni Mpango mkakati wa Mkoa wa kipolisi katika Kata zote zilizopo, kupata elimu juu ya mafunzo ya kijamii.

Amesema, lengo la kutoa elimu hii ni kutokomeza uhalifu au kupunguza kabisa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here