Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye akiuliza swali la nyongeza kuhusu utaratibu mpya wa ununuzi wa korosho kupunguza mapato ya halmashauri. |PICHA na Silvan Kiwale Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Januari Makamba, akisoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka 2019/20 bungeni jijini Dodoma leo Jumanne Aprili 16. |PICHA na Silvan Kiwale Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba, akijibu maswali mbalimbali ya wabunge yaliyoelekezwa katika Wizara hiyo. |PICHA na Silvan Kiwale Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira Mussa Sima akijibu maswali bungeni jijini Dodoma leo Aprili 16, wakati wa kipindi cha maswali na majibu. |PICHA na Silvan Kiwale