31.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, November 28, 2023

Contact us: [email protected]

Waziri Mkuu, Rais wa CAF wateta Dodoma

Na Mwandishi Wetu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe leo Agosti 13, Jijini Dodoma.

Motsepe amewasili nchini leo kwa ziara ya siku kutokana na mwaliko wa Rais wa shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia.

Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, mazungumzo hayo yanahusu maendeleo ya soka nchini na Afrika kwa ujumla.

Kesho Motsepe anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa fainali wa Kombe la Kagame kati ya timu ya Express ya Uganda na Nyasa Big Bullets ya Malawi itakayopigwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
579,000SubscribersSubscribe

Latest Articles