25.6 C
Dar es Salaam
Monday, October 25, 2021

WATUHUMIWA ARUSHA WATISHIA KUTOFIKA MAHAKAMANI

Na Mwandishi wetu,

Watuhumiwa 61 wanaokabiliwa na kesi za matukio ya mkoani Arusha wametishia kutokufika mahakamani tena kutokana na upelelezi wa kesi zao kutokukamilika kwa zaidi ya miaka minne.

Mbele ya Hakimu Mkazi Nestory Barro, watuhumiwa hao walidai kuwa wamechoshwa kuletwa mahakamani kila mara lakini upelelezi wa kesi zao haujakamilika mpaka sasa na kudai kuwa wataendelea kukaa gerezani mpaka upelelezi wa kesi zao utakapokamilika ili kesi zianze kusikilizwa na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
163,173FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles