27.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 7, 2023

Contact us: [email protected]

LIPUMBA: MAALIM SEIF KUHOJIWA NA KAMATI KUU YA CUF

NA MWANDISHI WETU,

Kamati kuu ya maadili ya Chama cha Wananchi (CUF) kimemwandikia barua Katibu mkuu Wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad kumuita kwenye kikao cha maadili kwa ajili ya kumuhoji kwa madai kuwa amekiuka katiba ya chama, msaliti na ameshindwa kufika kwenye ofisi za chama hicho tangu Septemba mwaka jana.

Akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba amesema kuwa akishindwa kufika kwenye kikao baraza hilo litatoa uamuzi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,885FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles