25.2 C
Dar es Salaam
Thursday, June 1, 2023

Contact us: [email protected]

Watu 67 wauawa Israel

-Gaza, Israel

Wapiganaji wa Kundi la Hamas nchini Israel wafanya mashambulizi kwa kurusha maroketi kwa njia ya anga na kuua makamanda wa ngazi mjini Gaza.

Mashambulizi hayo yaliyoanza jumatatu Mai 9, 2020 yameibua  mgogoro mkubwa kati ya raia wa kiyahudi na Waarabu wa Israel huku hali ya taharuki ikiendelea kuongezeka dhidiya mvutano wa kupigania eneo linalopiganiwa kati ya waislamu na wayahudi.

Pia takribani watu 67 wameuawa mjini Gaza na wengine Saba kuuawa hook Israel.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,226FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles