29.2 C
Dar es Salaam
Friday, August 19, 2022

WATU 15 WAUWAWA KATIKA MLIPUKO WA BOMU SOMALIA

Watu wapatao 15 wameuawa katika mlipuko wa bomu lililokuwa ndani ya gari karibu na hoteli na migahawa katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

Mlipuko huo mkubwa uliotokea katika barabara ya Maka Al-Mukarama, uliweka wingu kubwa la moshi na kusababisha uharibifu katika majengo ya karibu lakini pia magari yaliyokuwa yameegeshwa kando ya barabara hiyo.

“Kwa sasa watu 15 wamefariki dunia ikiwa ni pamoja na wanawake watano, wengine 17 walijeruhiwa katika mlipuko,” Abdikadir Abdirahman, Mkurugenzi wa Huduma ya Ambulance Amin

Mogadishu imekuwa ikiandamwa na magaidi wa al-Shabab ambao dhamira yake kuipindua Serikali.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,987FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles