Walilia uchunguzi wa ufisadi

0
710
Dk. Charles Tizeba
Dk. Charles Tizeba
Dk. Charles Tizeba

MWENYEKITI wa Bodi iliyovunjwa ya Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kagera (KCU 1990 LTD) a, Frank Muganyizi ameishauri serikali kuchunguza kwa kina tuhuma za ubadhirifu wa fedha na mali za chama hicho kwa kuwa wahusika wa mambo yote bado wameacha na wao kutolewa kafara, anaripoti Renatha Kipaka.

Bodi hiyo ilivunjwa na kuondolewa madarakani na Waziri wa Kilimo na Ushirika Dk. Charles Tizeba,   Julai 21, mwaka huu.

Aalisema pamoja na kuendelea kufanya jitihada za kutakiwa kueleza ukweli kwa waziri mwenye dhamana, bado wamenyimwa nafasi ya kujieleza na kudai walitolewa kafara wao na kuachwa wahusika.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here